Ijumaa, 7 Juni 2013

UNAFSIA

  
                   

Unafsia ni nadharia ambayo inahusisha kila kitu na ngono. nadharia hii mwasisi  ni  SIGMUND FREUD  ambaye anazungumzia suala la ngono na mapenzi katika mfumo mzima wa maisha. Mfano  Mfalme Edipode ambaye alichukua jukumu la kumuua baba yake mzazi na hatimaye kumuoa mama yake mzazi. Na pi a kuzaa nae watoto! pia akadhihirisha nadharia ya UMAKSI  ya kwamba Maisha hayana  maana kwa kuamua kujitoboa  macho ili asiyaone maovu aliyoyatenda. na pia kuamua kurudi katika kijiji chake cha mwanzo!.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni