Jumatatu, 10 Juni 2013

MAHAKAMA NA RUSHWA

  
       Mahakama za kwetu hapa Tanzania kwa ujumla zina kasumba ya kuomba au kupokea rushwa kwa wateja wao kwa lengo la kutaka kuwasaidia kutatua shida zao. Mfano pale wanafunzi wa elimu ya juu pindi wanapokwenda Mahakamani  kuomba kusainiwa fomu za mkopo katika kipengele cha kamishna wa viapo na hakimu wa mahakama husika aidha ya mwanzo au ya juu .

Maoni 2 :

  1. Nadhani maoni yako yaweza kuw ya kweli kwani watu walio wengi wanasumbua jamii juu ya utoaji na upokeaji wa Rushwa.!

    JibuFuta